MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (326/366); Ungana na kilicho karibu yako.
#SheriaYaLeo (326/366); Ungana na kilicho karibu yako. Maisha ni mafupi na nguvu zetu zina ukomo. Kwa kuongozwa na tamaa zetu, tunaweza kupoteza muda na nguvu kwenye kutafuta mabadiliko. Kwa ujumla, hupaswi kusubiri na kutumaini mambo yatakwenda vizuri, bali unapaswa kutumia vizuri kile ulichonacho. Asili inakuunga mkono. Kwa kuzamisha akili yako