MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (337/366); Tukio ambalo huenda lisingetokea.
#SheriaYaLeo (337/366); Tukio ambalo huenda lisingetokea. Huwa tunayachukulia maisha kikawaida na kwa mazoea. Lakini tukitafakari kwa kina, ni tukio ambalo huenda lisingetokea. Tangu kuanza kwa maisha hapa duniani, mabilioni ya miaka iliyopita, kila tukio limekuwa linatokea kwa namna ambayo haiwezi kuelezeka. Hata wakati sisi binadamu tunajitenga na wanyama wengine na