MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (340/366); Zamisha akili yako kwenye wakati uliopo.
#SheriaYaLeo (340/366); Zamisha akili yako kwenye wakati uliopo. Kutokutulia kwa akili zetu imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha kukosa umakini na kufanya makosa ambayo yanatugharimu sana. Kwa asili, akili yetu haiwezi kutulia sehemu moja, huwa inahama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Akili zetu ni rahisi sana kuhamishwa na usumbufu unaokuwa