MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (345/366); Ona kwa ujumla.
#SheriaYaLeo (345/366); Ona kwa ujumla. Sisi binadamu huwa tuna tabia ya kuona vitu kwa utengano. Tunajiona sisi na wengine kama watu binafsi na waliojitenga badala ya kujiona kama kitu kimoja ambacho kimeungana. Huwa tunaiangalia dunia kwa utengano wa viumbe na vitu mbalimbali, badala ya kuangalia jinsi vyote vinavyokuwa vimeungana pamoja.