MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2851; Uwezo tayari upo, tofauti ni matumizi.
2851; Uwezo tayari upo, tofauti ni matumizi. Unga wa ngano, unaweza kutengeneza mandazi, chapati, mkate, keki na vingine vingi. Uwezo wote huo tayari upo ndani ya unga, ila matokeo ya mwisho yanategemea jinsi ambacho uwezo huo umetumiwa. Kadhalika kwetu binadamu, chochote ambacho wanadamu wengine wameshaweza kufanya, hata wewe una uwezo