MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2856; Ishi kila siku kama ndiyo siku yako ya mwisho.
2856; Ishi kila siku kama ndiyo siku yako ya mwisho. Huwa tunaona tuna muda mwingi, mpaka pale tunapokuja kugundua muda wetu umeisha. Ni rahisi kujiambia utafanya kesho, kwa kuwa umezoea kuziona kesho nyingi. Lakini ipo siku ambayo hutaiona kesho uliyopanga. Ubaya ni huwezi kuijua siku hiyo ni ipi. Lakini uhakika