2891; Chipsi Mayai.

By | November 30, 2022
2891; Chipsi Mayai. Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye unashangazwa na mvurugano unaojitokeza wakati wa mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na hali ya mvurugano. Hakuna mabadiliko yenye utulivu. Mabadiliko ni sawa na kuandaa chipsi mayai, lazima uyavunje mayai. Kuyavunja mayai inaweza kuonekana kama ni kutaharibu, lakini chipsi zinapokuwa tayari, hilo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz