MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2912; Hakuna Amani.
2912; Hakuna Amani. Kwako rafiki yangu mpendwa unayedhani mafanikio makubwa yatakuwa chanzo cha amani na utulivu kwako. Nina habari ambazo siyo njema sana kwako. Mafanikio makubwa unayoyasaka hayatakupa amani na utulivu. Kwa hakika, kadiri unavyofanikiwa ndivyo unavyozidi kukosa amani na utulivu. Kwanza kabisa kadiri unavyofanikiwa, wajibu wako pia unaongezeka. Unawajibika