MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2914; Usitoboe sikio.
2914; Usitoboe sikio. Kwako rafiki yangu mpendwa unayepima mafanikio yasiyo mafanikio. Kipimo kisicho sahihi cha mafanikio kimekuwa ni kikwazo kikubwa kwa wengi kuyafikia mafanikio ya kweli. Moja ya njia ambazo huwa natumia kupata utulivu wakati nafanya kazi kubwa ya uandishi ni kusikiliza muziki. Na katika kusikiliza muziki, huwa kuna nyimbo