MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2918; Washindwe kunyamaza.
2918; Washindwe kunyamaza. Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye unashindwa kuwashawishi wateja wa biashara yako kukuletea wateja zaidi. Katika njia zote za masoko zilizopo, njia ya wateja kuambiana ndiyo njia yenye nguvu kubwa na matokeo mazuri. Watu wanaposikia kitu kutoka kwa watu wao wa karibu wanashawishika haraka kuliko wakisikia kutoka kwa