MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2935; Somo kutoka makaburini.
2935; Somo kutoka makaburini. Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi huwa na hofu ya makaburi kulingana na mitazamo na imani ambazo tumejengewa kwenye jamii zetu. Kuna hadithi nyingi juu ya yanayoendelea kwenye makaburi ambazo siyo sahihi. Lakini pia kuna mengi ya kujifunza kwenye makaburi, ambayo tukiyaelewa na kuyafanyia kazi, tutaweza kupiga