MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2968; Sizitaki mbichi hizi.
2968; Sizitaki mbichi hizi.Rafiki yangu mpendwa,Bila shaka unakumbuka moja ya hadithi ambazo tulijifunza shuleni.Ambapo sungura aliziona ndizi, akaamua azirukie ili aweze kula.Akaruka na kuruka sana, lakini hakuweza kuzifikia.Akakazana kuruka tena na tena, lakini bado hakuzifikia ndizi hizo.Mwisho akajiambia hata hivyo ndizi zenyewe ni mbichi, sizitaki.Kwa kusoma hadithi hiyo fupi unaweza