MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3026; Anza upya kila siku.
3026; Anza upya kila siku. Rafiki yangu mpendwa,Mwanzo wa kitu chochote kile huwa ni wa shauku na hamasa kubwa.Mtu unapokuwa unaanza kufanya kitu, unakuwa na msukumo wa kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo mazuri.Msukumo na juhudi hizo za awali huwa zinapelekea mtu kupata matokeo mazuri na kumpeleka ngazi za juu.