MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Jinsi Ya Kukabiliana Na Magumu
Kila mmoja wetu kuna magumu fulani ambayo anapitia kwenye maisha yake. Na kwa binadamu ni kitu cha kawaida kabisa lakini sisi binadamu pale mambo yanapokuwa shwari tunasahau kama kuna magumu ambayo tunaweza kukutana nayo. Kwa mfano, kama kwa sasa unafurahia jua na kinyume chake kinakuhusu. Falsafa ya Ustoa inatufundisha kuwa