MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Jinsi Ya Kujiandaa Na Magumu
Rafiki yangu mstoa, wiki iliyopita tulijifunza jinsi ya kukabiliana na magumu na tuliona kwamba magumu ni sehemu ya maisha. Na magumu hayo huwa yanatuumiza sana pale hatuyategemei kwani huwa yanatokea kwa mshtukizo kama vile ajali, kitu ambacho huwa kinatuumiza sana. Ili kuondokana na hali hiyo, wastoa walikuwa wanajiandaa na zoezi