MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Vitu Vinne Muhimu Ambavyo Mtu Anapaswa Kuvijua Kuhusu Yeye Mwenyewe Ili Aweze Kujitambua Na Kuishi Maisha Halisi Kwake
Kuishi maisha ya wengine ndiyo chanzo cha wengi kuwa na maisha magumu. Angalia hata maisha yako binafsi, ukiishi kwa mahitaji yako ya msingi na ukiishi maisha yako wala hutajikuta unaumia. Ili tuweze kuishi maisha yetu, falsafa ya ustoa inatusisitiza sana tujitambue sisi wenyewe ili tusisumbuke na mambo yasiyo sahihi kwetu.