MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3063; Kataa kushindwa.
3063; Kataa kushindwa.Rafiki yangu mpendwa,Kitu kimoja ambacho nimekuwa narudia sana kukisema ni kwamba watu huwa hatupati kile tunachotaka, bali kile tunachokubali, tunachokivumilia.Na nimekuwa nikitumia mifano rahisi ya miji mikubwa.Ni vigumu sana ukasikia mtu amekufa kwa njaa kwenye mji wowote mkubwa.Lakini ndani ya miji hiyo, kuna wengi ambao hawana mahali pa