MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Barua ya IV; Kuhusu hofu ya kifo.
Barua ya IV; Kuhusu hofu ya kifo. Rafiki yangu Mstoa,Moja ya hofu ambazo zimekuwa zinatusumbua sana sisi binadamu, ni hofu ya kifo.Sote tunajua kuna siku tutakufa, siku ambayo hatuijui. Lakini kila tunapofikiria kuhusu kifo, huwa tunaingiwa na hofu kubwa. Hofu ya kifo imekuwa moja ya vitu vinavyowazuia watu wasiyaishi maisha