MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Pima Siku Yako Kabla Ya Kulala
Mwanafalsafa Socrates aliwahi kunukuliwa akisema, maisha ambayo hayatathiminiwi ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Kwa msingi huo basi, tunatakiwa kufanya tathmini zetu kujua siku zetu zimekwendaje, unapoamka asubuhi na kuanza siku yako ni kama vile umepanda na jioni ni muda wa kuvuna kile ulichopanda na kuvuna ni kupitia siku yako