MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Jinsi Ya Kudhibiti Hisia Zako
Miongoni mwa changamoto kubwa kwenye maisha ni kuendeshwa na hisia badala ya watu kuendesha hisia zao. Pale tunaporuhusu hisia zetu zitutawale, uwezo wetu wa kufanya maamuzi unaondoka yaani fikra inakuwa chini sana. Fikra zikiwa chini hisia zinakuwa juu na uwezo wa kufanya maamuzi unakuwa chini. Hisia kali na fikra ni