MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Njia Bora Ya Kulipa Kisasi
Kiasili sisi binadamu ni watu wa kulipa kisasi, pale mtu anapotutendea ndivyo sivyo huwa hatukubali tunahakikisha tunalipa kisasi. Tusipolipa kisasi katika jamii zetu ni kama vile kuonekana mjinga, ila unapolipa kisasi ndiyo unaonekana mjanja. Jamii imekuwa inakomeshana kwa njia ya visasi. Yote hii ni kwa sababu ya chuki iliyombika ndani