MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3100; Wanakutangaza vizuri.
3100; Wanakutangaza vizuri.Rafiki yangu mpendwa,Maisha huwa yanachanganya sana.Unapokuwa chini na hujafanikiwa, watu wako wa karibu wataonyesha kukupenda na kukuonea huruma.Kwa sababu nao wanakuwa hawajafanikiwa, wanakuwa wanafarijika sana kuwa karibu na wewe.Lakini mambo yanabadilika sana pale unapoamua kushika hatamu ya maisha yako na kufanikiwa.Unapochagua kuweka juhudi kubwa ili kuyabadili maisha yako