MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kuwa Kama Ukingo Wa Mto au Bahari
Rafiki yangu mstoa, Wote tunajua ukingo wa mto au bahari jinsi ulivyo, mara nyingi mawimbi ya bahari au hata mto huwa yanapiga kwenye ukingo wa mto au bahari. Lakini hata ukingo wa mto au bahari upigweje na mawimbi haujawahi kuacha kazi yake ya kusimama imara na kuyatuliza mawimbi ya maji.