MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3114; Viwango na mipaka.
3114; Viwango na mipaka.Rafiki yangu mpendwa,Maisha huwa ni magumu, lakini huwa tunayafanya kuwa magumu zaidi kwa kutaka kudhibiti mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu.Moja ya vitu ambavyo huwa tunapenda sana kufanya ni kuwabadili watu.Watu mbalimbali ambao tunachagua kushirikiana nao kwenye maeneo mbalimbali, wanakuwa na tabia ambazo ni kikwazo kwa