MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3127; Nilikuwa nakufikiria.
3127; Nilikuwa nakufikiria.Rafiki yangu mpendwa,Pata picha umempigia mtu simu na akaanza kwa kukuambia bora umempigia maana alikuwa anakufikiria, utajisikiaje?Halafu pia pata picha mtu amekupigia simu na kuanza kwa kukuambia alikuwa anakufikiria, utajisikiaje?Katika hali zote, utajisikia vizuri, kwamba mtu amekuwa anakufikiria, maana yake wewe ni wa muhimu kwake.Lakini kwenye hali ya