MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3134; Maswali mawili yatakayokuwezesha kuuza zaidi.
3134; Maswali mawili yatakayokuwezesha kuuza zaidi. Rafiki yangu mpendwa,Leo napenda nikupe taarifa ambazo zitakushtua kidogo.Taarifa hizo zitakushtua kwa sababu ni tofauti kabisa na matarajio uliyonayo. Kwenye biashara yako una wateja ambao tayari wananunua kwako mara kwa mara.Lakini je unajua ni kwa kiasi gani wateja hao wanajua vitu vyote unavyoweza kuwauzia?