MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3149; Miaka 100.
3149; Miaka 100.Rafiki yangu mpendwa,Nikiwa mkubwa, nataka kuwa kama Charlie Munger 🤗🤗Sababu ni 5;1. Ni bilionea.Mimi; Nitakuwa bilionea.2. Ana miaka 99 na anaendelea kufanya kazi. Mimi; Nitaishi zaidi ya miaka 100 na nitafanya kazi maisha yangu yote.3. Muda mwingi wa siku yake (asilimia 80) anautumia kusoma.Mimi; Nasoma angalau kitabu kimoja