MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3154; Tofauti itakapoanzia.
3154; Tofauti itakapoanzia.Rafiki yangu mpendwa,Siku ya jana, mjasiriamali na mwandishi Alex Hormozi alikuwa na tukio kubwa kabisa la kuzindua kitabu chake cha pili kinachoitwa $100M Leads.Ni kitabu cha kutengeneza wateja tarajiwa kwenye biashara, ambapo ndani yake ameeleza njia nane za uhakika za kutengeneza wateja tarajiwa wengi kwenye biashara ya aina