3162; Kufanya na kutokufanya.

By | August 28, 2023
3162; Kufanya na kutokufanya.Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu huwa anakosea kwenye maisha.Hayupo hata mmoja ambaye anapatia mara zote.Tunachotofautiana ni aina ya makosa, ukubwa na madhara.Hapa tutaangalia aina ya makosa na jinsi yanavyowatofautisha watu kwenye matokeo wanayopata.Kuna aina mbili za makosa.Aina ya kwanza ni makosa ya kufanya. Hapa ni pale unapofanya kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz