MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3163; Mazoea na Kujisahau.
3163; Mazoea na Kujisahau.Rafiki yangu mpendwa,Sisi binadamu tumeumbiwa kusahau.Kusahau kumekuwa na manufaa makubwa sana kwetu kwani kumewezesha kuendelea na maisha licha ya mambo mbalimbali tunayoyapitia.Kama tungekuwa tunakumbuka kila ambacho tumepitia kwenye maisha, tusingeweza kuwa na maisha tulivu.Uzito wa kumbukumbu tunazokuwa nazo ungetuelemea sana kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwetu.Kusahau