MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3168; Lugha pekee tunayoielewa hapa.
3168; Lugha pekee tunayoielewa hapa.Rafiki yangu mpendwa,Kuna lugha nyingi ambazo huwa zinaongelewa na wengi.Lakini hapa kwenye programu yetu ya Bilionea Mafunzoni, tunaielewa lugha moja pekee.Ni lugha ambayo sote tumeikubali na ndiyo tunaipambania katika mambo yote tunayoyafanya.Ni lugha ambayo inatuwajibisha kwenye kila kitu tunachokifanya kwenye hii safari.Ndiyo lugha ambayo tunahukumu nayo