MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3189; Unaanza na kufanya.
3189; Unaanza na kufanya.Rafiki yangu mpendwa,Kinachowakwamisha watu wengi kupata kile wanachotaka kwenye maisha yao ni kushindwa kuelewa jinsi mipango, hamasa na ufanyaji vinavyohusiana.Hivyo wengi huwa wanatumia muda wao mwingi kupanga nini watafanya. Na hata baada ya kupanga, bado wanatumia muda mwingi kupitia mipango waliyojiwekea.Halafu wanakuja kusubiri mpaka wapate hamasa ndiyo