MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3190; Unachokosea kwenye msimamo.
3190; Unachokosea kwenye msimamo.Rafiki yangu mpendwa,Moja ya vitu ambavyo tumekuwa tunasisitizana sana kwenye hii safari yetu ya mafanikio makubwa ni msimamo.Ambapo ni kufanya bila ya kuacha, liwake jua au inyeshe mvua.Bila ya kufanya jambo kwa msimamo bila ya kuacha, huwezi kupata mafanikio makubwa.Wapo watu wanasikia hili la msimamo na kuona