MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
XXII; Kuhusu ubatili wa kuwa njia panda.
XXII; Kuhusu ubatili wa kuwa njia panda.Rafiki yangu Mstoa, Kufanya maamuzi na kuyasimamia kwenye utekelezaji ni kitu ambacho kimekuwa changamoto kwa watu wengi.Kwa kutaka matokeo fulani, watu hufanya maamuzi sahihi.Lakini inapokuja kwenye utekelezaji, huwa wanasita kuchukua hatua zinazopaswa kuchukuliwa kulingana na maamuzi waliyofanya.Hapo watu wanakuwa njia panda, kwa sababu hawataki