MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3198; Siyo kilema.
3198; Siyo kilema.Rafiki yangu mpendwa,Ni mara ngapi umewahi kuwaambia watu kwamba lengo lako ni kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yako, halafu watu hao wakaanza kukuonyesha lengo lako siyo sahihi?Wanakuambia kuweka lengo la utajiri ni tamaa na hata hivyo pesa huwa hazileti furaha!Sasa hebu niambie kitu kimoja, hao watu wanaokuambia hayo,