MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Fadhila Yenye Nguvu Na Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha Yako
Mpendwa mstoa mwenzangu, Sina uhakika kama itakufaa lakini wewe ni mtu mwenye bahati sana na ujasiri mkubwa mpaka hapa ulipofikia. Kwa sababu kuishi ni ujasiri mkubwa mno, mpaka hapa ulipo umeshavuka vikwazo vingi na umevipita. Pata picha changamoto mbalimbali ulizoweza kukabiliana nazo. Ni wangapi walioshindwa kufikia hapo wewe ulipo? Unaona