3203; Inachukua muda.

By | October 8, 2023
3203; Inachukua muda.Rafiki yangu mpendwa,Sehemu kubwa ya mambo tunayojifunza kwenye maisha siyo mapya.Bali tunakuwa tunarudia mambo yale yale kwa namna tofauti tofauti.Na hiyo ni kwa sababu sisi binadamu huwa tunazoea na kusahau mambo haraka sana.Tunakuwa tunajua kabisa, lakini kwa mazoea na usahaulifu, tunapotezea na mwishowe tunapata madhara.Kitu ambacho tunahitaji kujikumbusha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz