MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3204; Usimwache akapoa.
3204; Usimwache akapoa.Rafiki yangu mpendwa,Mara baada ya mteja kununua kwako, nini huwa kinafuata?Kwa walio wengi, mteja anaponunua muuzaji anafurahia hayo mauzo kisha kumshukuru na kumwacha aende zake.Hili ni kosa kubwa ambalo limekuwa linawanyima wauzaji fursa ya kufanya mauzo mengi zaidi.Mara baada ya mteja kununua, huwa anakuwa kwenye moto wa kuendelea