MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Chanzo Cha Ukatili
Siyo mara yako ya kwanza kusikia ukatili na umeshaona watu wengi sana wakifanyiwa ukatili. Vitu vingi ambavyo unaona mtu anakufanyia kwenye maisha yako, jua anafanya hivyo kwa sababu na yeye alishawahi kufanyiwa hivyo. Anaona ni sehemu ya maisha yake kufanya hivyo. Kwa sababu tokea anakuwa anaona wengine wakifanyiwa ukatili na