MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3212; Epuka kujidanganya mwenyewe.
3212; Epuka kujidanganya mwenyewe.Rafiki yangu mpendwa,Mwanafizikia Richard Feynman amewahi kunukuliwa akisema wajibu wako wa kwanza kwenye maisha ni kuhakikisha hujidanganyi, kwa sababu ni rahisi sana mtu kujidanganya mwenyewe. Mtu unaweza kuchukulia kauli hiyo kirahisi na kuona huwezi kujidanganya, kwani unajiambia ukweli mara zote.Lakini huo huo ukweli unaodhani unajiambia, ndiyo umejaa