MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3221; Nani anamiliki nani?
3221; Nani anamiliki nani?Rafiki yangu mpendwa, Huwa kuna utani kwenye mabenki kwamba mtu akiwa anadaiwa bilioni na benki, basi mtu huyo anakuwa anamilikiwa na benki.Lakini mtu akiwa anadaiwa trilioni na benki, mtu huyo anakuwa anaimiliki benki.Hivyo pia ndivyo ilivyo kwa wateja na biashara. Pale mteja mmoja anapokuwa anachangia chini ya