MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3239; Utawatambua kwa matendo.
3239; Utawatambua kwa matendo.Rafiki yangu mpendwa,Ni rahisi sana kujua kama mtu atapata mafanikio makubwa kwenye maisha yake au la.Na njia ya kufanya hivyo siyo kusikiliza watu wanasema nini, bali kuangalia wanafanya nini.Kama anachosema mtu ni tofauti na anachofanya, amini kile anachofanya, maana huo ndiyo ukweli.Wanaofanikiwa na wanaoshindwa utaweza kuwatambua kwa