MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3250; Tayari unalipa hiyo gharama.
3250; Tayari unalipa hiyo gharama.Rafiki yangu mpendwa,Kwenye uzalishaji huwa kuna dhana kwamba kama kampuni inahitaji kupata zana fulani ambayo itaongeza uzalishaji, lakini ikawa haiwezi kumudu gharama za zana hiyo, tayari inakuwa inalipa hiyo gharama.Hiyo ni kwa sababu kwa kampuni kukosa hiyo zana, inakuwa na uzalishaji mdogo na hivyo kukosa yale