MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3257; Kitakachokuondoa kwenye mchezo haraka zaidi.
3257; Kitakachokuondoa kwenye mchezo haraka zaidi.Rafiki yangu mpendwa,Haya maisha ni mchezo mmoja mkubwa sana, ambao ndani yake kuna michezo mingi midogo midogo.Kazi ni mchezo ndani ya mchezo wa maisha. Kadhalika biashara, fedha, uwekezaji, mahusiano na mengine yote tunayofanya kwenye maisha.Kwenye michezo, pale mtu anaposhindwa huwa kunakuwa na kasumba ya kulaumu