MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3273; Usifanye mambo kuwa magumu zaidi.
3273; Usifanye mambo kuwa magumu zaidi.Rafiki yangu mpendwa,Nimekuwa nasema maisha tayari ni magumu, lakini watu huwa wanayaongezea ugumu kwa yale wanayokuwa wanayafanya.Unakuta watu wanahangaika na mambo ambayo hayana tija wala mchango kwenye kila wanachotaka.Ila wanafanya kwa sababu ndiyo wamezoea kufanya au ndiyo kila mtu anafanya.Kuepuka kuyafanya maisha kuwa magumu zaidi