MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3282; Unapojikwamisha mwenyewe.
3282; Unapojikwamisha mwenyewe.Rafiki yangu mpendwa,Kuna maeneo mengi huwa tunakwama kwenye maisha kwa sababu ya watu ambao tunajihusisha nao.Huwa ni rahisi kuona kwamba watu hao ndiyo wanaotukwamisha.Lakini ukweli ni kwamba sisi wenyewe ndiyo tunaojikwamisha.Watu wapo kama walivyo na wataendelea kuwa walivyo bila ya kujali wewe unataka nini.Kama kwa watu kuwa walivyo