MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3283; Athari za wengine.
3283; Athari za wengine.Rafiki yangu mpendwa,Kwa msingi, kila kitu kwenye asili ni nishati.Na utofauti wa vitu huwa unaanzia kwenye aina na kiwango cha nishati kilicho ndani yake.Vitu vyote, viumbe hai na visivyo hai vina nishati ndani yake.Hivyo basi, hata mchango au athari ya kitu kwa vitu vingine inatokana na nishati