MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3290; Unachoshindana nacho.
3290; Unachoshindana nacho.Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi wamekuwa wanalalamikia ushindani kuwa mkali na kuwa kikwazo kwao kufanikiwa kwenye biashara.Wanaona kama isingekuwa ushindani basi wangekuwa wamepiga hatua kubwa sana.Lakini huo siyo ukweli.Kama kuna ushindani pekee ambao unawakwamisha watu kwenye biashara basi ni uvivu na uzembe.Uvivu na uzembe ndiyo vikwazo vikubwa kwa biashara