MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3296; Hakuna kingine muhimu.
3296; Hakuna kingine muhimu.Rafiki yangu mpendwa,Sababu namba moja ya watu wengi kushindwa kupata matokeo makubwa waliyokuwa wanayataka ni kutawanya nguvu zao kwenye mambo mengi.Wanakuwa wanapambania vitu vingi kwa wakati mmoja, kitu ambacho kinapunguza ufanisi wao.Kwa sababu hata kama watapata matokeo, yanakuwa ni ya kawaida sana.Matokeo makubwa sana huwa yanapatikana pale