MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3302; Kujidanganya kwenye fedha.
3302; Kujidanganya kwenye fedha.Rafiki yangu mpendwa,Hakuna watu ambao huwa wanajidanganya kwenye fedha kama wale ambao hawana fedha nyingi.Huwa wanajidanganya kama sehemu ya kujifariji.Lakini kujidanganya huko bado huwa hakuondoi ukweli kwamba hawana fedha na fedha ni muhimu. Fedha ni muhimu sana kwenye maisha, kwa sababu inanunua vitu vingi tunavyohitaji kwenye maisha